Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo SektaMajiMiradi ya Maji ya Taifa

Marekebisho ya sheria ya maji (Waterworks Ordinance cap 281) ya mwaka 1997, yalimpa madaraka waziri mwenye dhamana ya maji kuunda vyombo vinavyojitegemea ambavyo vinajulikana kwa jina la Mamlaka za Majisafi na Majitaka Mijini. Kufuatia marekebisho hayo mamlaka za majisafi na majitaka zimeundwa katika miji yote mikuu ya Mikoa. Sheria hii ilitumika kuanzisha Miradi ya Maji ya Kitaifa ambayo ni  mradi wa Chalinze, Kahama, Wanging’ombe, Maswa, Handeni Trunk Main, Mgango/Kiabakari  na Makonde .

Lengo kuu la mabadiliko hayo ya kiuendeshaji lilikuwa ni kuimarisha utoaji huduma ya majisafi na uondoaji wa majitaka ambapo katika kipindi cha nyuma huduma hizi zilikuwa zikizorota mwaka hadi mwaka.

Mradi wa Maji wa Chalinze Mradi wa Maji wa Handeni
Mradi wa Maji wa Kahama Shinyanga Mradi wa Usambazaji maji Maswa
Mradi wa Usambazji Maji Wanging'ombe Mradi wa Maji wa Makonde
Mradi wa Maji wa Mgango/Kiabakari
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-20 13:47:40
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0