Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo SektaSheriaUdhibiti na Uratibu wa Msaada wa Kisheria

Serikali ya Tanzania imedhamiria kutoa muundo wa udhibiti wa uratibu wa huduma za msaada wa sheria zenye tija, ili kuhakikisha kuwa dira yake ya kutoa haki kwa wote inafanikiwa. Kuna vyombo vya serikali na program zilizopewa dhamana ya kuratibu michakato ya marekebisho, kama vile Idara Huduma za Sheria kwa Umma (PLSD) na Tume ya kurekebisha Sheria (LRC). Vyombo hivi na program zinafanyakazi kwa kushirikiana na vyama vya kiraia kuhakikisha utekelezaji wa majukumu yenye tija.

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-12-02 18:28:16
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0